Dec 4, 2012

ZIARA YA JK NACHINGWEA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua shule ya sokondari Maalum ya wasichana ya Nachingwea katika Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi, Shule hiyo imejengwa kwa sh. milioni 220, zilizotolewa na hazina kwa maombi maalumu mwaka wa fedha 2009/2010, shule hiyo inavyumba vya madarasa viwili, mabweni mawili, vyoo matundu 13, bwala la chakula pamoja na thamani mbalimbali, shule inameanza mwaka huu na inawafunzi 80. (Picha na Mariam Mkumbaru, Nachingwea).

No comments:

Post a Comment