May 18, 2013

BILL GATE NDIO TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI HAHHA NEXT ITS ME.. DAMN WHY NOT???!!!Baada ya kuwekwa benchi   since 2007 kama tajiri namba moja duniani,Founder wa Microsoft corporation
Bill Gates amerudi tena kwenye namba yake,namba iliyokuwa ikishikiliwa na billionea wa Mexico,Carllos Slim
Kwa mujibu wa   Bloomberg Billionaires Index,mabadiriko haya yamekuja baada ya utajiri wa Gates kuongezeka kwa asilimia 16% na Carllos kushuka kwa 14%
kwa sasa Gates atakuwa akiongoza matajiri wa dunia kwa utajiri wa $72.7billion.

                                                         Carllos Slim    

No comments:

Post a Comment