May 18, 2013

UWIIIIIII,,,, LINAH MAPENZI MOTOOOOO MOTOOOO NA EX...


EXCLUSIVE:LINA NA AMINI WAMERUDIANA

pengine msemo wa true love never die utakuwa unawahusu sana Linah na Amin,ambao couple yao ilimake headline sana baada ya kuvunjika miezi kibao iliyopita na kila mmoja ku move on na mahusiano mengine ambapoinafahamika kuwa kuwa Linah ana mchumba wake na wataoana soon lakini siku za karibuni ukaribu wa hawa wawili(Linah&Amin) ulianza kurudi na hata kufanya wimbo wa kushirikiana uitwao mtima wange na habari zisizothibitishwa zikaa zinasemwa eti wawili hawa wanafanya yao kimya kimya,Lady Detective ikaona isiwe taabu,kwani kuwavutia waya shi ngapi!!tulip tulipozungumza na Amini akatiririka mwenyewee kwamba wako in love tena na zilipendwa wake Linah na hata walichokiimba ndani nya mtima wange kinawahusu wao wenyewe,Exclusive Amini akafunguka hivi..
"Linah tuko pamoja tena kaka na wasichokijua watu ni kwamba,wimbo wa Mtima wange tumeimbiana sisi wenyewe,so watu wafahamu kwamba we are together"alimaliza kufunguka mtu mzima amini na tulipomvutia waya Dada etu Linah,simu ilikuwa ikita tu pasipo kupokelewa,lakini mwanamume si ndio msemaji bana..lets wait and see

kila kitu utakijua hapa hapa

No comments:

Post a Comment